Centre d'enseignement de Metier
Departement informatique

Kituo cha Mafunzo ya ufundi
Sekta: Kompyuta

L'elevage de vache au Centre communautaire
du fondation Benaa

Ufugaji
wa ngombe

Culture de bananes et ananas au centre communautaire
du fondation Benaa

Mashamba
yakisasa

Centre d'enseignement de Metier
Departement informatique Bureautique

Kituo cha mafunzo ya ufundi
sekta : Cherehani

Heading layer

Mafunzo ya Waandishi wa Habari katika Mbinu za Uandishi wa Habari

Heading layer

Ufunguzi rasmi wa Kituo
cha Maendeleo ya jamii

مركز السلام

Kituo cha kuimarisha
Amani

مركز السلام

Muskiti wa Tawhiid
na Kituo cha afya

مركز السلام

Jumba
la Wageni

مركز السلام

Upokezi wa wageni
Watao shiriki kwenye tamasha

مركز السلام

wageni wa kituo cha kuimarisha Amani wakitowa kipindi katika Radio ya Benaa Rutana

مركز السلام

Ugavi wa vyeti kwa wanafunzi wa muhula wa kwanza katika kituo cha kiufundi

مركز السلام

Ugavi wa vyeti kwa wanafunzi wa muhula wa saba katika kituo cha imani

مركز السلام

Usambazaji wa vyakula kwa familia masikini

مركز السلام

kazi ya kusaidia wafungwa wa magereza makuu mbalimbali

مركز السلام

Sherehe za kuanzisha muhula wa nane kwa wanafunzi wa Kituo cha Amani

C

Ushiriki wa kwanza kunako vitafunio vya kila mwaka kwa viongozi wa Kiislam

C

Eid al-Fitr kwenye Muskiti wa Tawheed mwaka 2018

C

Mashindano ya michezo na utamaduni yalioandaliwa na Taasisi Benaa

C

Eid ad-ha mwaka
2018

C

Ugavi wa vyeti kwa wanafunzi wa muhula wa nane katika kituo cha imani

C

Sherehe za kuanzisha muhula wa tisa kwa wanafunzi wa Kituo cha Amani

C

Msafara wa kwanza wa upasuaji na matibabu kwa watoto

C

Ugavi wa vyeti kwa wanafunzi wa muhula wa kumi katika kituo cha amani

C

kazi ya kusaidia wafungwa wa magereza makuu mbalimbali mwaka 2019

C

Iftwar ya pili kwa viongozi wa Kiislamu inchini Burundi 2019

C

Msafara wa pili wa upasuaji: Uzazi Mkuu - magonjwa yakina mama - ugonjwa wa mifupa

مركز السلام

Sherehe za kuanzisha muhula wa kumi na tatu kwa wanafunzi wa Kituo cha Amani

مركز السلام

Usambazaji wa vyakula kwa familia masikini

C

Msafara wa tatu
wa upasuaji

C

Eid al-Fitr kwenye Taasisi ya Benaa Rutana mwaka 2020

مركز السلام

Ugavi wa vyeti kwa wanafunzi wa muhula wa kwanza katika kituo cha kiufundi 2020

مركز السلام

Usambazaji wa kadi za
msaada wa matibabu

C

Sherehe za kuanzisha muhula wa kumi na nne kwa wanafunzi wa Kituo cha Amani

C

Eid ad-ha mwaka
2020

مركز السلام

Siku kuu ya kazi na
Wafanyakazi Duniani 2021

C

Iftwar ya mwaka ya mara ya tatu kwa viongozi wa Kiislam 2021

C

Eid al-Fitr kwenye Taasisi ya benaa Rutana mwaka 2021

مركز السلام

Ugavi wa vyeti kwa wanafunzi wa muhula wa nne katika kituo cha kiufundi

C

Msafara wa nne
wa upasuaji

C

Eid al-Fitr kwenye Taasisi ya Benaa Rutana mwaka 2022

C

Eid ad-ha mwaka
2022

مركز السلام

Usambazaji wa kadi za
msaada wa matibabu

مركز السلام

Usambazaji wa vyakula kwa familia masikini

Arrow
Arrow
Slider

                      

Afya
Ili kuwasaidia watu wenye mazingira magumu na matatizo kupata urahisi wa huduma za afya, mwaka wa 2017, Foundation imetoa Cards za Matibabu (CAM) kusaidia familia 500 maskini zaidi kutoka kabila la BATWA wanao ishi mkowa wa Bururi mji wa Matana, na hizi(kadi) zinaongezwa kwa zile zilizo... Plus de detailles
Idhaa Benaa
kituo cha redio kimeanzishwa ili kusaidia kuelimisha raia kupitia vipindi mbalimbali  kuhusu uzalishaji wa kilimo na mifugo, afya, jamii kwa ujumla, mazingira, michezo na mengineyo... . Ni redio inayo fikia raia katika nyanja tofauti, hata katika maeneo ya mbali zaidi nchini.   Plus de detailles
Miskiti
Malengo: Kurahisishia waislam kufanya ibada ya sala wakati wa kazi; kuimarisha amani na usalama kupitia sala 5 kwa siku Plus de detailles

Miundombinu na Maendeleo

Baada ya kupata kisheria hekta 17 katika mlima ulioko Gasyogo mjini Rutana.na hapo Kumejengwa vituo tofauti kwa ajili ya miundombinu kwa maslahi ya jamii kama kituo cha : afya; redio; usalama; ufundi; Jumba la wangeni na muskiti; Mbali na vituo hivyo, kumejegewa hapo maji ya chemchem NYABIGOZI kwa ajili ya manufaa ya raia wa maeneo hayo,na kuwarahisishia kupata maji ya kunywa. Ili kuwezesha jamii ya…

Elimu

Ili kuunga mkono sera ya serikali na kwa idhini ya wizara ya elim kuwa namafunzo ya ufundi katika ushirikiano wake, kimefunguliwa kituo cha elimu kwa wanafunzi ambao hawakuweza kuendelea na masomo ya msingi. Kituo hicho kilianza na sekta 2: SEKTA YA SAYANSI YA COMPYUTA na SEKTA YA KUSHONA. Sekta ya kushona ilianza na wanafunzi 38 waligawanywa katika kundi 2, na sekta ya sayansi ya kompyuta…

                      

Januari 18, 2020

Usambazaji wa vyakula kwa familia masikini (4)

in harakati mpya

by NTUNGWANAYO Majaliwa

Jumamosi hii 27/08/2022,Katika uwanja mkuu warutana,Kituo cha Taasisi Banaa kwa…
Juni 01, 2020

Usambazaji wa kadi za msaada wa matibabu (3)

in harakati mpya

by NTUNGWANAYO Majaliwa

Alhamisi hii, tarehe 25/08/2022, taasisi Benaa kwa ajili yakumarisha elimu…
Juni 01, 2020

Eid ad-ha mwaka 2022

in Idil adw-ha

by NTUNGWANAYO Majaliwa

Jumaa mosi hii,tarehe 09/07/2022 (10/12/1443 hijr), Taasisi Benaa kwa ajili…
Juni 15, 2018

Eid al-Fitr kwenye Taasisi ya benaa Rutana mwaka 2022

in Idil Fitri

by NTUNGWANAYO Majaliwa

Taasisi ya Benaa kwa ajili ya kuimarisha elim namaendeleo iliadhimisha…
Januari 18, 2020

Msafara wa nne wa upasuaji

in harakati mpya

by NTUNGWANAYO Majaliwa

Mwenyezi Mungu mtukufu anasema:… Yeyote anayempa mtu uhai, ni kana…
Juni 15, 2018

Eid al-Fitr kwenye Taasisi ya benaa Rutana mwaka 2021

in Idil Fitri

by NTUNGWANAYO Majaliwa

Alhamisi hii, 05/13/2021 (01 / shawwal / 1442 hijr), misimamizi…

                      

3440
Familia maskini zilizo saidiwa
1550
kadi za matibabu zilizo tolewa
418
Wanafunzi walio maliza
111
Idadi maskini wamelishizwa
32
Yatima waliosaidiwa
22
Miskiti iliojegwa


 

                      

                      

Developed in conjunction with Ext-Joom.com

Kuhusu sisi

BENAA FOUNDATION ni taasisi ya kibinaadamu lilionza rasmi shughuli zake tarehe 25/01/2016 katika jimbo la Rutana ambapo ilipo ofisi yake kuu . Taasisi hiyo hufanya shughuli zake katika mikoa minne hapa nchini: Rutana, Bururi, Ruyigi na Mwaro. Lengo lake kuu ni kuchangia kuboresha maendeleo kwa wote. UCHAMBUZI WA MWAKA 2016-2017 Lengo ni: Elimu, Afya, Misaada ya Umoja, Mshikamano, Michezo, Kilimo,ufugaji,…