BENAA FOUNDATION ni taasisi ya kibinaadamu lilionza rasmi shughuli zake tarehe 25/01/2016 katika jimbo la Rutana ambapo ilipo ofisi yake kuu . Taasisi hiyo hufanya shughuli zake katika mikoa minne hapa nchini: Rutana, Bururi, Ruyigi na Mwaro. Lengo lake kuu ni kuchangia kuboresha maendeleo kwa wote. UCHAMBUZI WA MWAKA 2016-2017 Lengo ni: Elimu, Afya, Misaada ya Umoja, Mshikamano, Michezo, Kilimo,ufugaji,…